Kuna taharuki inatengenezwa Dar? Kuna magari ya Polisi yanazunguka mitaani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote

Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine.

Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na buguruni hali ni hiyohiyo.

Tunaweza kudhani ni hali ya kawaida lakini sidhani.. Je hiii hali imesababishwa na tukio la leo la hiyo tume?
 
Bila picha unatuoa supu isiyokuwa na chumvi Mkuu
 
Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote

Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine.

Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na buguruni hali ni hiyohiyo.

Tunaweza kudhani ni hali ya kawaida lakini sidhani.. Je hiii hali imesababishwa na tukio la leo la hiyo tume?
Washindwe na walegee. Wanafahamu wananchi watareact ikiwa tume haitatoa majawabu yanayotakiwa. Wauaji wakubwa!
 
Polisi wako wanafanya kazi yao ya ulinzi wa Raia na mali zao.Kama wewe sio muhalifu huna sababu ya kupata hofu unapoona Askari
 
Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote

Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine.

Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na buguruni hali ni hiyohiyo.

Tunaweza kudhani ni hali ya kawaida lakini sidhani.. Je hiii hali imesababishwa na tukio la leo la hiyo tume?
Muuza bangi akiona gari la polisi lazima awe mwoga kama wewe

USSR
 
Nilikua naenda kijichi nimekutana na the same situations.

Basi tume itakuja kutuambia chanzo cha vurugu ni MANGE, TUNDULISU, MARIA SARUNGI ,GWAJIMA, HARMFREY POLEPOLE NA CHADEMA.

NB. CHANZO CHA VURUGU NI CCM KUTO KUFANYA REFORMS ZA MSINGI KABLA YA KWENDA KWENYE HUO UCHAGUZI , NA UHAKIKA KAMA KUNGEKUA NA FAIRNESS KWENYE PRIMISES YA SIASA ZA BONGO , WATANZANIA NI WAUNGWANA SANA SANAAAAAA
 
Muuza bangi akiona gari la polisi lazima awe mwoga kama wewe

USSR
IMG-20260423-WA0032.jpg
 
Tangu juzi huku mkoa nilipo niliona mabadiliko kama hayo makambi yameongezwa ya polisi. Basi nikawaza au tarehe 1 mei kuna watu wamepanga maandamano, kiukweli sikuwa nawaza kama kuba hili tukio leo maana kiukweli kwa maisha ya kawaida wananchi hata hawana time.
 
Back
Top Bottom