Bila picha unatuoa supu isiyokuwa na chumvi MkuuMitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote
Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine.
Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na buguruni hali ni hiyohiyo.
Tunaweza kudhani ni hali ya kawaida lakini sidhani.. Je hiii hali imesababishwa na tukio la leo la hiyo tume?
Washindwe na walegee. Wanafahamu wananchi watareact ikiwa tume haitatoa majawabu yanayotakiwa. Wauaji wakubwa!Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote
Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine.
Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na buguruni hali ni hiyohiyo.
Tunaweza kudhani ni hali ya kawaida lakini sidhani.. Je hiii hali imesababishwa na tukio la leo la hiyo tume?
Mbona sikuzote hizo hayakuwepo.?Polisi wako wanafanya kazi yao ya ulinzi wa Raia na mali zao.Kama wewe sio muhalifu huna sababu ya kupata hofu unapoona Askari
Muuza bangi akiona gari la polisi lazima awe mwoga kama weweMitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote
Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine.
Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na buguruni hali ni hiyohiyo.
Tunaweza kudhani ni hali ya kawaida lakini sidhani.. Je hiii hali imesababishwa na tukio la leo la hiyo tume?
Nilikua naenda kijichi nimekutana na the same situations.Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote
Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine.
Mikao na mienendo yao ni kama wamejiandaa kwa lolote like nimepita Kawe, mwenge kinondoni Ilala na buguruni hali ni hiyohiyo.
Tunaweza kudhani ni hali ya kawaida lakini sidhani.. Je hiii hali imesababishwa na tukio la leo la hiyo tume?
Utashangaa kapaisha penalty 🔥
TayariBasi tume itakuja kutuambia chanzo cha vurugu ni MANGE, TUNDULISU, MARIA SARUNGI ,GWAJIMA, HARMFREY POLEPOLE NA CHADEMA.
Akili ndogo sana imetumika ,hakuna mjinga atoe uhai kwa sh elf 50Muuza bangi akiona gari la polisi lazima awe mwoga kama wewe
USSR