Unawafahamu mang'ati wewe!
Kwao ni mwiko kujenga/kuchimba choo. Wao kawaida akibanwa na haja kubwa, anaingia zizini kujisaidia.
Na kawaida mbwa akimuona mang'ati anazama zizini, lazima azengee kwa nyuma na pale mang'ati amalizapo haja zake, mbwa anapita na kinyesi.
Huwezi kukuta mji wa mtu kule kanda ya ziwa hauna choo.
Kwanza kanda ya ziwa hakuna pori. Karibu maeneo yote asilimia kubwa ni makazi ya watu.
Nimeishi ukaguruni huko unakuta mji hauna na wala hawafikirii kuwa na choo zaidi ya kushusha mizigo yao porini.