Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,993
Hiv unadhan kwann chama lenu chakavu hamtaki kutenganisha urais na mwenyekit?jiulize utapata majibu
Kaskazini ina mikoa mingi kama Tanga,Kilimanjaro,Arusha,ManyaraHii hoja ya Ukaskazini huenda ikawa ina mashiko ila Sumaye mbona yeye mbona ni wa Kaskazini, au sio mkaskazini enough?
Naomba tuwe wakweli, yaani Sumaye utoke CCM (kama kweli ulitoka kwa kuwa hukurudisha kadi yako ya CCM) miaka minne (4) and then ukabidhiwe uenyekiti wa CHADEMA!! Nenda kajaribu hata TLP au CUF uone utakavyotimuliwa na mzee wa Kiraracha ama Professor wa CUF. Kuna 'wafia chama' ambao wamepoteza mali, hadhi hata kufungwa, wewe hujawahi kushuhudia bomu la machozi upewe uenyekiti wa chama!!! Nenda CCM uonyeshe tu dalili za kuutaka uenyekiti wa CCM Kitaifa kama hutajuta kuzaliwa. Kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM walishindwa kukuamini sembuse uenyekiti wa chama!! Nakushauri ustaafu siasa, usipende kuanzisha mitafaruku 'Feki'.
Tundu Ana hoja gani Yule..mbona mweupe Sana..akili yake kwanza bado haijakomaa..nadhan sababu ya umri..kazi yake ni kutetea tumbo lake tuAfadhali basi angekuwa na hoja za ushawishi kama Tundu Lissu
Huyu safari si alifukuzwa CUF na lipumba, hana jipya ni Malaya tumabaya ya ccm yanafananishwaje na chama cha demon-krasia?
Legitimacy ya kuisema ccm inapoteq hapo .. By Prof Safari
Ilikuwaje Sasa mbona Lowasaa alifika na ku overtake akachukua nafasi ya kugombea urais, mkataka mumsukumie Ikulu hivyohivyo...hahahahNaomba tuwe wakweli, yaani Sumaye utoke CCM (kama kweli ulitoka kwa kuwa hukurudisha kadi yako ya CCM) miaka minne (4) and then ukabidhiwe uenyekiti wa CHADEMA!! Nenda kajaribu hata TLP au CUF uone utakavyotimuliwa na mzee wa Kiraracha ama Professor wa CUF. Kuna 'wafia chama' ambao wamepoteza mali, hadhi hata kufungwa, wewe hujawahi kushuhudia bomu la machozi upewe uenyekiti wa chama!!! Nenda CCM uonyeshe tu dalili za kuutaka uenyekiti wa CCM Kitaifa kama hutajuta kuzaliwa. Kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM walishindwa kukuamini sembuse uenyekiti wa chama!! Nakushauri ustaafu siasa, usipende kuanzisha mitafaruku 'Feki'.
Sema kuna tatizo Tanzania.Ni wapi na kwa Katiba ipi inazuia mtu kumpinga Rais/Mwenyekiti ktk uchaguzi wowote kama siyo Tanzania pekee?Sijawahi kuipenda CCM toka nimepata uelewa wa vitu. Mwanzoni kabisa nilikua naipenda CUF, ila katika miaka ya 2005-2010 siasa za Zitto pamoja na Dk. Slaa zilinivutia sana eventually nikajikuta nasupport CHADEMA. Miaka kadhaa ikapita Zitto akafukuzwa chama kwa maneno mengi sana kama in sellout na ilikua in kipindi kama hiki kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2015.
Katika utetezi wake ndugu Zitto alidai matatizo yote ndani ya CHADEMA yalianza baada ya yeye kuonyesha nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti ndani ya chama ila hakuambulia alichotegemea akapata label ya kua anatumika. Na leo tena same case imetokea kwa Mzee Sumaye baada ya kuonyesha azma ileile, naye figisu zikaanza. Na laiti angekua kijana mwenye nguvu pia angeshtumiwa/atashutumiwa kutumiwa na serikali.
GuDume ana Uzi wake humu ndani akiuliza wapinzani wa Tanzania wanataka nini? Na mimi nakazia kwa kua very specific CHADEMA mnataka nini?
Mimi nitamwongezea 50,000/Sumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.
Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000
Songela Nkese!Sema kuna tatizo Tanzania.Ni wapi na kwa Katiba ipi inazuia mtu kumpinga Rais/Mwenyekiti ktk uchaguzi wowote kama siyo Tanzania pekee?
Kwa CHADEMA tatizo,KWA CCM NI UTAMADUNI! Kweli kuku tu ndiye hunya!
Ila lowasa kuwa Rais ni sawa, kumbuka na yeye alikuwa mgeniSumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.
Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000
Lowassa alitoka CCM miaka mingapi??Naomba tuwe wakweli, yaani Sumaye utoke CCM (kama kweli ulitoka kwa kuwa hukurudisha kadi yako ya CCM) miaka minne (4) and then ukabidhiwe uenyekiti wa CHADEMA!! Nenda kajaribu hata TLP au CUF uone utakavyotimuliwa na mzee wa Kiraracha ama Professor wa CUF. Kuna 'wafia chama' ambao wamepoteza mali, hadhi hata kufungwa, wewe hujawahi kushuhudia bomu la machozi upewe uenyekiti wa chama!!! Nenda CCM uonyeshe tu dalili za kuutaka uenyekiti wa CCM Kitaifa kama hutajuta kuzaliwa. Kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM walishindwa kukuamini sembuse uenyekiti wa chama!! Nakushauri ustaafu siasa, usipende kuanzisha mitafaruku 'Feki'.
Mbona lowassa siku 3 tu mkampa dhamana ya kuwa Rais kama angeshindaNaomba tuwe wakweli, yaani Sumaye utoke CCM (kama kweli ulitoka kwa kuwa hukurudisha kadi yako ya CCM) miaka minne (4) and then ukabidhiwe uenyekiti wa CHADEMA!! Nenda kajaribu hata TLP au CUF uone utakavyotimuliwa na mzee wa Kiraracha ama Professor wa CUF. Kuna 'wafia chama' ambao wamepoteza mali, hadhi hata kufungwa, wewe hujawahi kushuhudia bomu la machozi upewe uenyekiti wa chama!!! Nenda CCM uonyeshe tu dalili za kuutaka uenyekiti wa CCM Kitaifa kama hutajuta kuzaliwa. Kugombea nafasi ya urais kwa tiketi ya CCM walishindwa kukuamini sembuse uenyekiti wa chama!! Nakushauri ustaafu siasa, usipende kuanzisha mitafaruku 'Feki'.
Sijawahi kuipenda CCM toka nimepata uelewa wa vitu. Mwanzoni kabisa nilikua naipenda CUF, ila katika miaka ya 2005-2010 siasa za Zitto pamoja na Dk. Slaa zilinivutia sana eventually nikajikuta nasupport CHADEMA. Miaka kadhaa ikapita Zitto akafukuzwa chama kwa maneno mengi sana kama in sellout na ilikua in kipindi kama hiki kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2015.
Katika utetezi wake ndugu Zitto alidai matatizo yote ndani ya CHADEMA yalianza baada ya yeye kuonyesha nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti ndani ya chama ila hakuambulia alichotegemea akapata label ya kua anatumika. Na leo tena same case imetokea kwa Mzee Sumaye baada ya kuonyesha azma ileile, naye figisu zikaanza. Na laiti angekua kijana mwenye nguvu pia angeshtumiwa/atashutumiwa kutumiwa na serikali.
GuDume ana Uzi wake humu ndani akiuliza wapinzani wa Tanzania wanataka nini? Na mimi nakazia kwa kua very specific CHADEMA mnataka nini?
Vilevile hawajakatwa kama kule ng'ambo kwa wenzetu,wanashindwa kura hatoshi,na wengine bado wapo kwenye kinyang'anyilo cha taifa mbowe anasema kama wapo wengine wachukue formSumaye Kaja Chadema Juzi halafu awe mwenyekiti wa Taifa ni aibu.
Huyu Komu, Kubenea, na Mwambe wasipohamia CCM kabla ya 2020 Njoo hapa nidai 100,000