Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

Si tulikubaliana kwamba mauaji yalikoma baada ya awamu ya tano?
 
Watu wa Dar es Salam bora waende Jehanum kuliko kwenda kuhojiwa kituo cha Stakishari
 
Kama anahusika na utekaji wa magari polisi wamefanya vizuri kimya ha ajinyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…