Kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu ambalo lisipopatiwa ufumbuzi hii nchi kuna siku tutauzwa wote bila kuijua

Kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu ambalo lisipopatiwa ufumbuzi hii nchi kuna siku tutauzwa wote bila kuijua

Joined
Aug 4, 2014
Posts
20
Reaction score
36
Kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu ambalo lisipopatiwa ufumbuzi hii nchi kuna siku tutauzwa wote bila kuijua.

1. Tatizo la kwanza ni kutojali na rushwa.

2. Kutoheshimu taaluma za watu.

3. Ubinafsi na kujilimbikizia mali

4. Ujinga na uchawa.

5. Uongo
 
Hili ni ombilangu kwako eehh Mungu, TUTENDEE JAMBO JIPYA..🙏
 
Kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu ambalo lisipopatiwa ufumbuzi hii nchi kuna siku tutauzwa wote bila kuijua.

1. Tatizo la kwanza ni kutojali na rushwa.

2. Kutoheshimu taaluma za watu.

3. Ubinafsi na kujilimbikizia mali

4. Ujinga na uchawa.

5. Uongo
No.3 ndo inayolipa No.4
 
Namba 2 hapo juu,taaluma haziheshimiwi kwa sababu wao hawajiheshimu pia.

Tuna tatizo la maadili miongoni mwa wasomi.
Inaonekana huko vyuo vikuu kuna ujunga mwingi watu wanafundishwa kuliko roho ya uzalendo.

Kijana anayetoka form six anakuwa na uzalendo sana na nchi yake ila akishaenda kusoma ujinga hasa vyuo vikuu vyetu anabadilika na kuwa muhuni.

Fikiria mtu hadi anakuwa profesa anatetea mikataba ya kishenzi ambayo nchi hii imekuwa ikilalamikia kuumizwa.Profesa mzima anasema mkataba wa DP world ni kama wa Tics wakati hiyo Tics ndiyo ililalamikiwa sana.Watanzania wengi pia akili kisoda maana walishasahau jinsi Karamagi alivyotuhumiwa kwa ufisadi.

Matatizo tuliyonayo ni ;
1. Ujinga ( uchawa upo humu humu)
2. Kutokuwa na maadili
3. Uoga
4. Unafiki
5.Ubinafsi
6.Ujuaji ( hawa ndio mnaita wasomi)
 
Back
Top Bottom