Kuna tatizo kubwa sana kwenye ndoa sasa hivi, kwani tatizo la wanandoa kutokuwa waaminifu ni kubwa mno

Hakika umenena...

Media sasa hivi ndiyo zinaeneza sana propoganda na kuonekana kuna matatizo kumbe hakuna chochote...
Tena kama kumix mtoto ndani ya ndoa 😁 ilikua kawaida, ndoa ina watoto saba wawili sio wa dingi na unakuta dingi anajua....ila wazee wetu walikua na vifua aseee.

Sahivi kelele miiiingiii utadhani ndio kitu kipya kumbe marudio
 
Tena kama kumix mtoto ndani ya ndoa 😁 ilikua kawaida, ndoa ina watoto saba wawili sio wa dingi na unakuta dingi anajua....ila wazee wetu walikua na vifua aseee.

Sahivi kelele miiiingiii utadhani ndio kitu kipya kumbe marudio
Hakika, ukiendekeza media kwa kuamini kila jambo unaweza sema mwisho wa dunia umefika...

Haya mambo yapo toka enzi na enzi hakuna jipya...
 
Ndoa haijengwi kwa sex tu, hao ni Malaya tu kama wanaojiuza uku mtaani, unakuta binti wa miaka 16-35 anatembea na wanaume zaidi ya kumi kwa siku, akija olewa huyo so itakuwa janga kwa mume wake, siku hizi wanawake wengi wanaolewa tayari wameshatembea na mituringa za size mbalimbali, bahati mbaya ukiwa na kibamiya inakuwa kazi kweli kweli. Kuridhishwa kwa mwanamke ni yeye anavyopokea tendo la ndoa wengine ukiingiza tu mwanamke keshamaliza, wengine unaweza ning'inia kwa saa lakini wapi Ina maana huyo keshaonja mituringa ya kutosha. Hivyo wanawake walioko kwenye ndoa hawana tofauti na hawa Malaya wa mitaani kwenu wanaojiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…