Kuna tatizo kubwa TRA Mwanza Jiji Utoaji wa TIN

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
464
Reaction score
447
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikisikia na kushuhudia katika mikoa baadhi ya mikoa juu ya muda utoaji wa TIN. Mwaka 2014 nilimsindikiza rafiki yangu mmoja kwenda kuchukua TIN kwa ajili ya biashara huko Tabora. Tulifika saa nne asubuhi katika ofisi za TRA na kufikia saa tisa mchana tukawa tumepata TIN.
Lakini pia kuna rafiki yangu ameniambia kuwa kwa Moshi pia inachukua siku moja tu kupata TIN.

Hali ni tofauti kabisa katika jiji la Mwanza, nimeanza kufatilia TIN toka week iliyopita mpk leo bado hata dalili ya kupewa sijaona. Siku ya kwanza Nilienda nikiwa na kitambulisho changu cha taifa baada ya kufika nikaambia nikalete barua ya Mwenyekiti wa mtaa baada ya kupeleka barua toka week iliyopita mpk sasa bado TIN sijaipata kila siku nikienda naambiwa njoo kesho maombi ni mengi. Lakni naona kuna mazingira ya rushwa yanatafutwa katika hili. Naomba Mamlaka itazame jiji la Mwanza kuhusu utoaji wa TIN.
 
Mm nilienda wiki 2 zimepita nikaambiwa km nahitaji TIN kwa haraka nifanye namna ili ipatikane nikakaata, cjapata mpk leo nikaamua kuwa mpole TRA mwanza mlinishinda tabia na TIN zenu kha!
 
Daaah hawa jamaa ni shida tupu.. ukienda kuchukua TIN yani unaonekana km mpuuzi tu..

Back
Top Bottom