Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Kwa zaidi ya masaa 2 inaonekana kuna tatizo la upatikanaji wa huduma ya internet kwa provider wengi, kwa tetesi nilizopata kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa , kuna njia 2 za zimekatika imebaki 1 ambayo ndio tuna gombania hapa. Watalamu wa ku fuatilia wanaweza weka Updates hapa zaidi.
Nawasilisha
Nawasilisha