Tetesi: Kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa linalo hadhiri upatikanaji wa internet

Tetesi: Kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa linalo hadhiri upatikanaji wa internet

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Kwa zaidi ya masaa 2 inaonekana kuna tatizo la upatikanaji wa huduma ya internet kwa provider wengi, kwa tetesi nilizopata kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa , kuna njia 2 za zimekatika imebaki 1 ambayo ndio tuna gombania hapa. Watalamu wa ku fuatilia wanaweza weka Updates hapa zaidi.

Nawasilisha
 
Voda wana Satelite pia kama Backbone, ama Atlest walikua nayo, kuna kipindi meli ilivyokata nyaya kama miaka 10 iliopita, Voda walikuwa hewani ila kwa speed ndogo.
 
Voda wana Satelite pia kama Backbone, ama Atlest walikua nayo, kuna kipindi meli ilivyokata nyaya kama miaka 10 iliopita, Voda walikuwa hewani ila kwa speed ndogo.
Hili ni janga mzee kwani kuna uwezekano leo iko hivo net ilikua mawenge sana leo job
 
Afu Hiyo Backbone wakimilikishwa TTCL tutegemee kulia. Kwa sasa iko chini ya Wizara

Jana tigo ilikuwa down ila baadae ikarudi
 
Itakuwa ni kweli,mimi jana internet ilisumbua sana mida ya jioni...
 
Ndio maana mpaka tovuti ya TRA pale register for payment, ukitaka kuregister new payment ili u-create bill yenye control number kwa ajili ya kulipia kodi husika, inakataa, toka juzi inasumbua,nikampigia afsa mmoja wa TRA akakiri kuwepo kwa tatizo tajwa.
 
Back
Top Bottom