Hili ni janga mzee kwani kuna uwezekano leo iko hivo net ilikua mawenge sana leo jobVoda wana Satelite pia kama Backbone, ama Atlest walikua nayo, kuna kipindi meli ilivyokata nyaya kama miaka 10 iliopita, Voda walikuwa hewani ila kwa speed ndogo.
Mwenzetu you own your internet aisee hongera sana.No wonder why Internet yangu ilipata shida mida ya jioni.