technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Police wameongezwa maradufu chato why? Wananchi wa chato kwanini hawaruhusiwi kutoka nje hasa usiku? Mchana hawaruhusiwi kutoka bila kuvaa barakoa why?
Wageni kutoka mikoa mingine now hawaruhusiwi kuja chato why? mabasi ya mikoani yanayopita chato yamepunguzwa? na yanayopita yanakuwa chini ya ulinzi mkali hakuna mtu kushuka?
Vifaa tiba vinaamishwa hospital za mwanza na kupelekwa chato why? kuna nini cha ziada chato kwanini ukatae kuiweka dar under lockdown lakini chato ulipo pawe chini ya ulinzi mkali vile why chato why? .