Tetesi: Kuna tatizo la msingi

Ujinga wako unahusianaje na kigogo? Naina unaendelea kudhihirisha ujinga wako.

Huko makaburini mnaweza kufukia kimya kimya... Ila mkifa hapo Lumumba haitokuwa siri.

Kachukue buku 7 yako ukale maana njaa tu ndo inaonekana hapa.
Wafuasi wa kigogo mna tabu sana.
Vipi waziri wenu kigogo hajaweka video zingine za makaburini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye njaa ni nyie mnaolilia lock down mpewe ugali wa bure.
Ujinga wako unahusianaje na kigogo? Naina unaendelea kudhihirisha ujinga wako.

Huko makaburini mnaweza kufukia kimya kimya... Ila mkifa hapo Lumumba haitokuwa siri.

Kachukue buku 7 yako ukale maana njaa tu ndo inaonekana hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hakika kama wanefungiwa ndani mpaka nitakapo ona video ya kuthibitisha hizi tuhuma maana now kwenye mitandao mengi yanasemwa
 
Kwa hiyo unataka kusema kajipigia lockdown yeye peke yake huku kwingine akiwaacha na lwao??
 
Chato hali ni tete lockdown inaendelea hakuna kutoka wala kuingia
 
Du upotosha mkubwa!
Hizi taarifa ukiziona zimeandikwa kama hujui kuquestion pumba na mchele unapata chuki za bure!.
Mkuu unapotosha umma hamna kitu kama hicho hapa chato.

Usilete siasa za kichonganishi. Andika hata maisha ya familia yako unavyosumbuana na mkeo kila siku.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…