Kuna tatizo lolote kuezekea na mbao zenye ubichi?

Kuna tatizo lolote kuezekea na mbao zenye ubichi?

Paploman

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
1,759
Reaction score
3,452
Habari zenu wakuu.
Nataka kupiga kenchi na mbao ninazotaka kuezekea Bado mbichi
Je Kuna changamoto yoyote kupiga kenchi na mbao za aina hii?
 
Habari zenu wakuu.
Nataka kupiga kenchi na mbao ninazotaka kuezekea Bado mbichi
Je Kuna changamoto yoyote kupiga kenchi na mbao za aina hii?
Hakuna tatizo kwa kuwa baadaye misumari itashika vizuri, lakini hakikisha unapiga bati haraka kabla hazijaanza kukauka vinginevyo zitapinda. Ukipiga bati kabla ya kuanza kukauka haziwezi kupinda.
 
Back
Top Bottom