P Paploman JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 1,759 Reaction score 3,452 May 8, 2024 #1 Habari zenu wakuu. Nataka kupiga kenchi na mbao ninazotaka kuezekea Bado mbichi Je Kuna changamoto yoyote kupiga kenchi na mbao za aina hii?
Habari zenu wakuu. Nataka kupiga kenchi na mbao ninazotaka kuezekea Bado mbichi Je Kuna changamoto yoyote kupiga kenchi na mbao za aina hii?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 May 8, 2024 #2 baade zitapinda
P Paploman JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 1,759 Reaction score 3,452 May 8, 2024 Thread starter #3 Mtukutu wa Nyaigela said: baade zitapinda Click to expand... Kweli?
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 May 8, 2024 #4 Paploman said: Kweli? Click to expand... jaribisha mkuu, afu ulete mrejesho
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 May 8, 2024 #5 Paploman said: Habari zenu wakuu. Nataka kupiga kenchi na mbao ninazotaka kuezekea Bado mbichi Je Kuna changamoto yoyote kupiga kenchi na mbao za aina hii? Click to expand... Hakuna tatizo kwa kuwa baadaye misumari itashika vizuri, lakini hakikisha unapiga bati haraka kabla hazijaanza kukauka vinginevyo zitapinda. Ukipiga bati kabla ya kuanza kukauka haziwezi kupinda.
Paploman said: Habari zenu wakuu. Nataka kupiga kenchi na mbao ninazotaka kuezekea Bado mbichi Je Kuna changamoto yoyote kupiga kenchi na mbao za aina hii? Click to expand... Hakuna tatizo kwa kuwa baadaye misumari itashika vizuri, lakini hakikisha unapiga bati haraka kabla hazijaanza kukauka vinginevyo zitapinda. Ukipiga bati kabla ya kuanza kukauka haziwezi kupinda.