Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge Yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao.
Jambo hili linasikitisha sana ukizingatia kuwa hizi ni tabia za wachezaji wa timu ndogo kutamba tamba lakini hatimae hufungwa tu.
Wakatazeni wachezaji wasiongee ongee kwani hata vizee vyao tunavijua vinatafuta watu wanaokamia mechi viwafanyie mazonge zonge.
Halafu sio sawa kwa wachezaji kuonesha wameikamia mechi.Kwa nini msiwaache yanga waingie wakijua wanashinda kisha muwashangaze?
Binafsi sioni tunashindaje hiyo mechi kwani tunapwaya uwanjani na nje ya uwanja