Kuna tatizo mahali kwa viongozi wa Simba, mnawezaje kuruhusu wachezaji wahojiwe na kutamba kuhusu Derby?

Kuna tatizo mahali kwa viongozi wa Simba, mnawezaje kuruhusu wachezaji wahojiwe na kutamba kuhusu Derby?

Ndiyo wanazidi kumpa mzuka koplo bacca avunje mtu siku hiyo
 
Mikwala ya Simba ya siku zote ila Yanga daima mbele nyuma mwiko!! Ushindi ni muhimu sana.

Ili kushinda derby Yanga inatakiwa kuweka mfukoni 1. Debora (playmaker), 2. Kibu (mkamiaji), 3. Kapombe (mkamiaji)
 
Back
Top Bottom