Punguza woga mkuu,Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao...
Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao...
Marketing strategy
Simba Yuko nyumbani
Anataka watu wajae
Huna u Yanga wowote!Mimi ni Yanga ila naona walicho fanya Simba ni sahihi ni jambo la kuigwa
Hakika munapwaya mbele na Nyuma, tena Nyuma munapwaya zaidi mpaka mukichuchumaa munajamba.Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao.
Jambo hili linasikitisha sana ukizingatia kuwa hizi ni tabia za wachezaji wa timu ndogo kutamba tamba lakini hatimae hufungwa tu.
Wakatazeni wachezaji wasiongee ongee kwani hata vizee vyao tunavijua vinatafuta watu wanaokamia mechi viwafanyie mazonge zonge.
Halafu sio sawa kwa wachezaji kuonesha wameikamia mechi.Kwa nini msiwaache yanga waingie wakijua wanashinda kisha muwashangaze?
Binafsi sioni tunashindaje hiyo mechi kwani tunapwaya uwanjani na nje ya uwanja
Kwa mechi dhidi ya yanga nadhani mapato haipaswi kuwa kipaumbele mbele ya ushindi
Losers Cup.Simba ya mashindano ya akina mama
It's football psychology.Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge Yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao.