Kuna tatizo mtu akianika nguo za ndani palipo na majirani na karibia na barabara

Kuna tatizo mtu akianika nguo za ndani palipo na majirani na karibia na barabara

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Huu ni UJANJA, UVIVU, UCHAFU, KUJIAMINI au ni vizuri kuanika hivi penye wapangaji wengi na ni karibia na barabara.

bdg.jpg
 
Mambo ya uswazi hayo...unaweza kuta hapo ni dada chausiku kapigwa dongo..
 
Angeanika karibu na shule za boys aingie hasara.
 
Usafi huo,mbona aliinunua dukani na alikutana na watu kibao na alionekana akinunua?
 
Bado mpya zikichakaa hutaziona tena. na hazikawiagi kuchakaa siku 2 tu. tena zinaharibika kwa kutia doa sehemu moja tu mbaya.
 
Back
Top Bottom