Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kuna mwamba ameshare Model 3 yake likiwa na odometer ya miles 316,270 ambazo ni sawa na kilometa zaidi ya laki 5.
Gari bado ipo kwenye original battery, na imepungua battery kwa asilimia 15 tu tokea iwe mpya.
Kwa izo kilometa, kama angekua na gari la engine, linalomtaka afanye oil change kila baada ya kilometa 5000 inamaanisha angekua amefanya oil change zaidi ya mia moja.
Sasa kama oil change moja (oil, filter na ufundi) ni laki moja na nusu, inamaana angetumia zaidi ya million 15 kwa iyo service tu.
Hapo tumetoa vitu kama spark plug, ATF, coil, bei ya umeme iko chini zaidi ya mafuta, nk.
Tuombee zishuke bei tupate ata used.