specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Wewe ni m-Tz wa kuzaliwa au wa makaratasi ya uhamiaji?ngoja aguse Tz utanielewa maana nahisi ni mgeni na mbilinge za mashabiki wa Bongo wakiamua kukinukisha lazima kinuke kama unahitaji mifano hai nijuze nitakupa.
Haya ni matunda yakukosa kazi! Yaani unajiona wewe ndio mtanzania kwa upuuzi kama huu unaotaka kufanya?
Acheni ujinga vijana.....
Mtanzania wa kweli bado anapambana na maadui watatu + wa nne aliyejiongeza.....bado anapambana na ujinga,maradhi,umaskini + ufidi....
Ugomvi au maneno kati ya watu wawili (diamond vs davido au wema vs zari) haiwezi kuwa agenda ya nchi hii au agenda ya mtanzania mwenye akiri timamu labda wapuuzi wapuuzi kama wewe......
Huu ujinga sijui mnaupata wapi vijana wa leo....
Kwa mawazo kama yako inanifanya niamini nchi hii itapata shida sana,nchi hii ina balaa,nchi inameza walevu inaacha wajinga wajinga tu kama wewe + mtoa mada.
Kwa mawazo haya naona DIV 5 ya Kawambwa inawafaa vijana wa leo.
..