Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

Tetesi: Kuna tetesi kwamba Marekani inapanga kutangaza vikwazo kwa Serikali ya Tanzania

Mbona wanachelewa sana ase, waje waweke hivyo vikwazo ili pogba anyooke.
 
sisi watanzania tumeshazoea shida sasa hivo vikwazo tukiwekewa na hao wamarekani sisi itatusaidia nini maana tushazoea shida hebu mnaelewa hili jambo mtusaidie
Shida gani ulishazoea mkuu?He unajua ni kiasi gani kwenye afya marakani huchangia?Kwekewa vikwazo ni hatari sana naona na njaa hii inayokuja watanzania watakula sana mchele wa plastic toka China maana mahindi ya njano tuliyapata toka marekani
 
Back
Top Bottom