Kuna tiba nzuri ya gono?

Mcjadu

New Member
Joined
Dec 27, 2022
Posts
1
Reaction score
3
Wakuu habari. Natumaini ni wazima wa afya.
Nna kijana wangu anasumbuliwa na gono na amepata matibabu mapema na kama liza dozi. Lakini halia ake bado ni ngumu haileti matumaini. Ushauri wenu jamani..ipi njia nyingine ya kufanya aweze pona .Na dWa alizo tumia ni cefixeme.
 
Mkiambiwa mtumie condom hamsikii, matokeo yake ndio haya unamsingizia kijana wakati ngono zembe umefanya wewe, na ukimwi hauna Dawa.

Nenda hospital daktari akusikilize kama vipimo akufanyie ndio upate Tiba.
 
[emoji445]Kichwa cha juu kimeumbwa na ubongo..kichwa cha chini kimeumbwa na chongo...

[emoji445]Uki kifuata utavuruga michongo... Utapata na Gono....

Tumia akili kujua maana ya kichwa usiwaze kichwa kichwa wimbo unaitwa kichwa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kama unafahamu Dr wa mifugo hapo kwenu mfuate atumie dozi ya kuchoma mbwa gono kwisha habari yake GONO ni ugonjwa wa mbwa sijui wanawake wanauzoa wapi nakusambaza kwa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…