Sipendi Masihara
Member
- Sep 3, 2026
- 30
- 27
Habari zenu wadau wa jf.
Leo nimeona ni address tatizo langu humu nikiamini kwamba kuna wasomi wa hali ya juu humu na watundu wa kudadisi mambo
Mimi nina changamoto ya kutoka jasho kupita kiasi hasa maeneo ya shingoni, kichwani na mgongoni.
Nikilala kitandani yaani godoro linalowa jasho.
Najiuliza mbona wengine wanadunda hawahangaiki kama mimi hivi!. Nimetafuta tiba lakini sioni kabisa.
Nawaomba, yeyote anayejua mwarobaini wa hili tatizo aniambie.
Naombeni ushauri wenu jamani nateseka sana.
Sio utani jamani ni serious issue kabisa.
Natumaini nitapata majibu yenye ushauri wenye tija.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻