Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Ishatokea Scotland hiyoHuo ndiyo ukweli. Mpaka sasa utopolo fc hawajapoteza mechi Haya moja lakini endapo Simba sports club watashinda vipolo vyao wataongoza ligi. Simba kapoteza mechi mbili na utopolo hawajapoteza mechi mpaka sasa. Hapa ndipo nakumbuka enzi za chuo masuala ya units ama credit kwenye course. Unaweza ukapata A kumbe course inacredit chache na mwenzako akapata B bado akakuzidi kwenye GPA. Utopolo mpo?
Kwani ndio sare yao ya kwanza kuipata mpaka useme morali yao itashuka? Leo Yanga imecheza na moja ya timu ngumu tena katika mazingira magumu (uwanja) na pengo la Yacouba lakini wamepigana wakasawazisha goli. Kumbuka tu kuwa Simba walipotanguliwa walishindwa kukomboa goli. Hivyo prison ni timu inayojua kukaba vizuriMorali yao itapungua kwa matokeo haya
Mtacheza ndondo mpaka mkubali.Wewe mikia ulimfunga goli ngapi huyo prisoni
Umeongea pengo la yacouba kumbuka nao Simba hawakua na Chama...sare sio ya Kwanza lakini kumbuka hata walipotoa sare walifululiza sare 3Kwani ndio sare yao ya kwanza kuipata mpaka useme morali yao itashuka? Leo Yanga imecheza na moja ya timu ngumu tena katika mazingira magumu (uwanja) na pengo la Yacouba lakini wamepigana wakasawazisha goli. Kumbuka tu kuwa Simba walipotanguliwa walishindwa kukomboa goli. Hivyo prison ni timu inayojua kukaba vizuri
Yanga hii goli la ngunga ngunga Kama lile mchezaji anakua offside position anaingilia mpira refa anaacha unasema itachukua ubingwa?Kwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.
Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
Kwa hio Yanga bila huyo ......ni punye. Kweli kuchukua kombe msimu huu BADO SANAAKwani ndio sare yao ya kwanza kuipata mpaka useme morali yao itashuka? Leo Yanga imecheza na moja ya timu ngumu tena katika mazingira magumu (uwanja) na pengo la Yacouba lakini wamepigana wakasawazisha goli. Kumbuka tu kuwa Simba walipotanguliwa walishindwa kukomboa goli. Hivyo prison ni timu inayojua kukaba vizuri
Hili ya yacouba haikuwa pengo kivile kwa Yanga ila uwanja haukuwa rafiki. Hilo la chama linafahamika kuwa Simba bila chama,. Wanageuka kuwa Rhino fc. Ligi bado ni safari ndefu sana lakini bado Yanga ina spirit na ndiyo inayowabeba mpaka sasa, wakitanguliwa Wana fight kupata goli.Umeongea pengo la yacouba kumbuka nao Simba hawakua na Chama...sare sio ya Kwanza lakini kumbuka hata walipotoa sare walifululiza sare 3
Ishu ya kubebwa kila timu imekuwa wanufaika wa maamuzi mabovu ya marefarii. Wala sio ya kuchekana hili.Refa kaibeba yanga refa kawapa goli la offside
Kama unafatilia mpira yacouba na kaseke ndio Chachu ya ushindi usikatae pengo la yacouba...kuhusu Chama Ni MVP na timu kwakua imetengenezwa kupitia yeye na kuhakikishia Chama aende timu kam yanga ambayo necha yao kishambulia kupitia pembeni hafanyi loloteHili ya yacouba haikuwa pengo kivile kwa Yanga ila uwanja haukuwa rafiki. Hilo la chama linafahamika kuwa Simba bila chama,. Wanageuka kuwa Rhino fc. Ligi bado ni safari ndefu sana lakini bado Yanga ina spirit na ndiyo inayowabeba mpaka sasa, wakitanguliwa Wana fight kupata goli.
Bahasha za kaki ArushaKwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.
Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
Wewe nakujua huwezi kutoa hoja pasipo kutukana. Simba bila chama walipoteza michezo miwili kwa kufungwa. Lakini Yanga bila yacouba haijafungwa mchezo wake hivyo wachezaji wote woliopo kikosini wanawajibika ipasavyo.Kwa hio Yanga bila huyo ......ni punye. Kweli kuchukua kombe msimu huu BADO SANAA
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Kaseke na Yacoubao ni wachezaji ambao tayari wameshatengeneza partnership fulani hivi yaani wameshaelewana kwa pale mbeleKama unafatilia mpira yacouba na kaseke ndio Chachu ya ushindi usikatae pengo la yacouba...kuhusu Chama Ni MVP na timu kwakua imetengenezwa kupitia yeye na kuhakikishia Chama aende timu kam yanga ambayo necha yao kishambulia kupitia pembeni hafanyi lolote