Kuna timu huenda ikamaliza ligi bila kufungwa hata mechi moja ila hawatachukua ubingwa.

Hahahaa...uto kama uto.
Na bado mtalalamikia waamuzi ...wakiwabeba mtahamia tff inawapendelea Simba kuwapa viporo,na mkizidiwa lazima mkiri kila mtu ni Simba hadi mfadhili wenu ni Simba.

Mtapoteana tu,ni suala la muda
Kwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.

Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
 
Yanga wakishakua na Jambo lao Nchi Ina simama, Yanga bingwa 20/21 ni swala la muda tu.
 
Kwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.

Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
Usijifiche kwenye kundi la wanasimba.Hakuna mwanasimba anaeweza kuwa na mentality ya kindezi namna hiyo.
 
Huo ndiyo ukweli. Mpaka sasa utopolo fc hawajapoteza mechi Hata moja lakini endapo Simba sports club watashinda vipolo vyao wataongoza ligi. Simba kapoteza mechi mbili na utopolo hawajapoteza mechi mpaka sasa. Hapa ndipo nakumbuka enzi za chuo masuala ya units ama credit kwenye course. Unaweza ukapata A kumbe course inacredit chache na mwenzako akapata B bado akakuzidi kwenye GPA. Utopolo mpo?
tawaza kwanza arafu uje humu ndani.
 
Kwani ndio sare yao ya kwanza kuipata mpaka useme morali yao itashuka? Leo Yanga imecheza na moja ya timu ngumu tena katika mazingira magumu (uwanja) na pengo la Yacouba lakini wamepigana wakasawazisha goli. Kumbuka tu kuwa Simba walipotanguliwa walishindwa kukomboa goli. Hivyo prison ni timu inayojua kukaba vizuri
Achana nao hao Mnyero fc, wanashangilia viporo wakati bado hawajavicheza. Ni sawa na kusherekea kupata mtoto wkt hujui mke wako atajifungua salama au la. Mnyero jifunzeni kushukuru ulichonacho mkononi tayari. Matokeo ya kutarajiwa ni majaliwa tu, unaweza kupata au kukosa pia, kumbuka opponent wenu kwenye hivyo viporo nao wanazitaka hizo points. Hivyo siyo rahisi Kama mnavyodhani.
 
Ligi bado sana, lolote linaweza kutokea.
 
Huo ndiyo ukweli. Mpaka sasa utopolo fc hawajapoteza mechi Hata moja lakini endapo Simba sports club watashinda vipolo vyao wataongoza ligi. Simba kapoteza mechi mbili na utopolo hawajapoteza mechi mpaka sasa. Hapa ndipo nakumbuka enzi za chuo masuala ya units ama credit kwenye course. Unaweza ukapata A kumbe course inacredit chache na mwenzako akapata B bado akakuzidi kwenye GPA. Utopolo mpo?
Wewe ni aina ya watu wanaosoma bila kuelimika.
 
Ila Goli la Jana lilikuwa la hovyo sana. Labda ubingwa wa kubahatisha kama Goli hilo
 
Kwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.

Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
Duuuh!! Watu wanapigwa 4 ,3 kwa kubahatisha!!! Kuwa siriaz basi. Utopolo bhana mnaboa sana.
 
Back
Top Bottom