kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.
Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
Anayekoma nani sasa? Kwamba kutoa sare leo imekushangaza sana? Mbona nyie mlipigwa?
Sio chama tu na boko,kagere hawakuwepo alikuwa dogo ilamfyaUmeongea pengo la yacouba kumbuka nao Simba hawakua na Chama...sare sio ya Kwanza lakini kumbuka hata walipotoa sare walifululiza sare 3
Usijifiche kwenye kundi la wanasimba.Hakuna mwanasimba anaeweza kuwa na mentality ya kindezi namna hiyo.Kwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.
Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
Mtopolo unapiga nieto tu.Kwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.
Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
tawaza kwanza arafu uje humu ndani.Huo ndiyo ukweli. Mpaka sasa utopolo fc hawajapoteza mechi Hata moja lakini endapo Simba sports club watashinda vipolo vyao wataongoza ligi. Simba kapoteza mechi mbili na utopolo hawajapoteza mechi mpaka sasa. Hapa ndipo nakumbuka enzi za chuo masuala ya units ama credit kwenye course. Unaweza ukapata A kumbe course inacredit chache na mwenzako akapata B bado akakuzidi kwenye GPA. Utopolo mpo?
Achana nao hao Mnyero fc, wanashangilia viporo wakati bado hawajavicheza. Ni sawa na kusherekea kupata mtoto wkt hujui mke wako atajifungua salama au la. Mnyero jifunzeni kushukuru ulichonacho mkononi tayari. Matokeo ya kutarajiwa ni majaliwa tu, unaweza kupata au kukosa pia, kumbuka opponent wenu kwenye hivyo viporo nao wanazitaka hizo points. Hivyo siyo rahisi Kama mnavyodhani.Kwani ndio sare yao ya kwanza kuipata mpaka useme morali yao itashuka? Leo Yanga imecheza na moja ya timu ngumu tena katika mazingira magumu (uwanja) na pengo la Yacouba lakini wamepigana wakasawazisha goli. Kumbuka tu kuwa Simba walipotanguliwa walishindwa kukomboa goli. Hivyo prison ni timu inayojua kukaba vizuri
Njia ya muongo ni fupi Sana. Ongera kwa kuongopa kana kwamba wewe ndo umeangalia mpira peke yako.Nlikosea badaya yA kaseke nikamtaja mukoko!
Wewe ni aina ya watu wanaosoma bila kuelimika.Huo ndiyo ukweli. Mpaka sasa utopolo fc hawajapoteza mechi Hata moja lakini endapo Simba sports club watashinda vipolo vyao wataongoza ligi. Simba kapoteza mechi mbili na utopolo hawajapoteza mechi mpaka sasa. Hapa ndipo nakumbuka enzi za chuo masuala ya units ama credit kwenye course. Unaweza ukapata A kumbe course inacredit chache na mwenzako akapata B bado akakuzidi kwenye GPA. Utopolo mpo?
Mimi sijasoma mkuu.Wewe ni aina ya watu wanaosoma bila kuelimika.
Duuuh!! Watu wanapigwa 4 ,3 kwa kubahatisha!!! Kuwa siriaz basi. Utopolo bhana mnaboa sana.Kwa msimu huu Yanga ndio bingwa, huo ndio ukweli mchungu kwangu na kwa wanasimba wenzangu.
Na sababu ni moja tu, timu zingine (ikiwemo Azam na Simba) kimpira zimechoka sana, zinapata ushindi kwa kubahatisha au kununua mechi.
Tuta la Yanga dhid ya simba. Tuta la Yanga dhid ya KMC. Mechi ya Gwambina dhid ya Yanga. Mechi ya prison dhid ya Yanga. Mmmh Yanga kwa mbereko ni punyeTuta lililotolewa na refa Simba vs KMC