Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Asante sana Mkuu. Kuna post mbili kwenye thread hii hii nimezungumzia suala hilo lakini wagumu kuelewa. Zile penati zao nne nazo wanaziita 4G.
Zile goli nne za mafuta unaziweka kwenye hesabu zako?
Angalia idadi ya magoli kwa kila mchezaji kama magoli ya mafuta ya kuamua mshindi yanahesabika
Hayo huwa ni lottery ya kuamua nani asonge mbele au achukue kombe. Officially mchezo ulikuwa sare bila bila.
Hata yale mawili mliofungwa ni hali hiyo hiyo.
Naamini Sembo analielewa hili!
Wakuu kama mnavyokumbuka jana kwa taaaabu sana Azam FC waliishinda Simba SC na kuchukua kombe la Mapinduzi
Sasa tujadili yaliyojiri wakati wa mashindano.Mimi ningependa kujua kama kuna timu iliyopukuchuliwa goli nyingi zaidi ya Yanga.Yanga iliishangaza Zanzibar kwa kudokolewa goli 8 ndani ya siku 5. Kiasi kwamba siku ya nusu fainali walikimbia na kupotea ghafla kama msichana aliyebakwa kwa kutaka mwenyewe
Simba ambayo licha ya kuonyesha kabumbu safi haikufanikiwa kuchukua kombe lakini ni timu iliyoacha gumzo Visiwani.
SWALI LA KIZUSHI
Inawezekanaje gemu wapige wengine kileleni afike mpiga chabo? Yanga bana