Kuna timu itashika mkia Leo Baada ya mechi na Wydad

Nataka nikuone ukitoa updates live kwa uzi wa mechi hii njoo kwenye uzi mchambuzi wetu muoga 😂
 
Japo hatutaki hili litokee tuendelee kuiombea hiyo timu lakini it's a destiny lazima Wydad Casablanca ashinde coz hawezi endelea kukaa kule mwishoni

So japo tuendelee kuomba Dua ....ila hili ni impossible lazima hii timu Toka kule ukoloni fc ishike mkia

NB: Tuombe lisitokee.

View attachment 2837830

Ni hiyo hiyo Wyadad itaendelea kushika mkia wa Simba! Na Simba ukimshika mkia wake utaisikia habari yako!
 
Japo hatutaki hili litokee tuendelee kuiombea hiyo timu lakini it's a destiny lazima Wydad Casablanca ashinde coz hawezi endelea kukaa kule mwishoni

So japo tuendelee kuomba Dua ....ila hili ni impossible lazima hii timu Toka kule ukoloni fc ishike mkia

NB: Tuombe lisitokee.

View attachment 2837830

Hapo mkia Wyadad unamhusu, kule mkia Nyuma mwiko unamhusu!
 
Japo hatutaki hili litokee tuendelee kuiombea hiyo timu lakini it's a destiny lazima Wydad Casablanca ashinde coz hawezi endelea kukaa kule mwishoni

So japo tuendelee kuomba Dua ....ila hili ni impossible lazima hii timu Toka kule ukoloni fc ishike mkia

NB: Tuombe lisitokee.

View attachment 2837830

Nyuma mwiko kila akijitahidi achomoke kwenye mkia anabaki amegandana pale pale!
 
Japo hatutaki hili litokee tuendelee kuiombea hiyo timu lakini it's a destiny lazima Wydad Casablanca ashinde coz hawezi endelea kukaa kule mwishoni

So japo tuendelee kuomba Dua ....ila hili ni impossible lazima hii timu Toka kule ukoloni fc ishike mkia

NB: Tuombe lisitokee.

View attachment 2837830
Ila Kuna nyengine tangu Ligi ya Makundi imeanza hadi jana mechi ya tatu ni ya mwisho. Unaijua?
 
20231210_002546.jpg

Ulikuwa upo sahihi
 
Back
Top Bottom