Kuna Timu moja hapa Tanzania kamwe haitomsahau huyu Mchezaji

Kuna Timu moja hapa Tanzania kamwe haitomsahau huyu Mchezaji

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Klabu ya Hapoel Petah Tikva inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Israel umeachana na kiungo Kelvin Kapumbu ikiwa ni miezi miwili tu tangu nyota huyo raia wa Zambia atue klabuni hapo mnamo Julai 30, 2024 akitokea Zesco United.

Chanzo: maulidkitenge

Na kilichowaumiza zaidi siyo Yeye kuwafunga bali Kufungwa na Mtu mwenye Jina la Ubini ambalo analimiliki daima.
 
Calvin Catestis

Ana jina zuri kweli

LINA MSHAWASHA
 
Yaelekea dirisha dogo Simba itapata wachezaji wazuri...

Tushindwe wenyewe...
 
Back
Top Bottom