Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Nilikuwa nampenda sana huyu Mwamba wa Lusaka, kilichonifanya nimtoe thamani ni mechi ya tarehe 08 Machi, 2020 yaani alicheza hovyo kabisa. Mara awakanyage kwa makusudi wachezaji wa timu pinzani, mara apoteze mpira kizembe. Yaani alinifanya nimchukie kuanzia siku hiyo.Mwisho wa siku wataondoka bure kama Okwi na Kotei! Hizi bilioni zingekuwa rahisi Mohamedi angeshawawekea kwenye akaunti yenu! Nakumbuka usajili wa Yondan mlijiapia na kujiapia kilichotokea kila mtu anajua! Hata hivyo huyo Chama ni wa kawaida sana kinachofanyika ni sasa za mpira wa bongo!
Sent using Jamii Forums mobile app