Kuna Timu naiona ipo Morocco ya Mlandizi na nyingine Morocco ya Posta Mpya

Kuna Timu naiona ipo Morocco ya Mlandizi na nyingine Morocco ya Posta Mpya

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana.

Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana.

Aliyeanza kaanza tu Kudadadeki!
 
Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana.

Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana.

Aliyeanza kaanza tu Kudadadeki...!!
Kwa hiyo tuseme baada ya tozo ya kufa mtu ndio umehamishia hasira kwa mwananchi au😢😢😢✌️✌️✌️
 
Ni nini hasa lengo la huu uzi!! Majungu au kuendekeza tu masuala ya kimbumbumbu?
 
Tuwekee picha ili tuamimi kama kuna fanana na Mlandizi.

Ila nijuacho mimi, kuna mmoja anajilipia gharama za Kambi na mwingine analipiwa na Waarabu
 
Mabega yako yanaumia kwa kubeba kitu kizito kisichokuwa na maana juu yake
 
Back
Top Bottom