M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 Aug 21, 2021 #1 Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana. Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana. Aliyeanza kaanza tu Kudadadeki!
Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana. Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana. Aliyeanza kaanza tu Kudadadeki!
desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Aug 21, 2021 #2 Inamaana wanapigwa vumbi la jangwani
Ugumu wangu JF-Expert Member Joined May 6, 2021 Posts 1,685 Reaction score 3,552 Aug 21, 2021 #3 Mightier said: Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana. Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana. Aliyeanza kaanza tu Kudadadeki...!! Click to expand... Kwa hiyo tuseme baada ya tozo ya kufa mtu ndio umehamishia hasira kwa mwananchi au😢😢😢✌️✌️✌️
Mightier said: Siyo lazima Simba SC ikienda mahala na Timu zingine Ziige wakati hata Uwezo wa Kipesa hawana. Simba SC ipo Morocco ya Posta Mpya ila kuna Watu wapo Morocco ya Mlandizi na Wachezaji furaha hawana. Aliyeanza kaanza tu Kudadadeki...!! Click to expand... Kwa hiyo tuseme baada ya tozo ya kufa mtu ndio umehamishia hasira kwa mwananchi au😢😢😢✌️✌️✌️
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Aug 21, 2021 #4 Kutoka hoteli ya Moroco ya mlandizi mpaka kufika uwanja wa mazoezi pia ni safari ndefu mpaka wachezaji wanasinzia kwenye basi.
Kutoka hoteli ya Moroco ya mlandizi mpaka kufika uwanja wa mazoezi pia ni safari ndefu mpaka wachezaji wanasinzia kwenye basi.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 21, 2021 #5 Ni nini hasa lengo la huu uzi!! Majungu au kuendekeza tu masuala ya kimbumbumbu?
KANYIMBI JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 2,167 Reaction score 4,374 Aug 21, 2021 #6 Tuwekee picha ili tuamimi kama kuna fanana na Mlandizi. Ila nijuacho mimi, kuna mmoja anajilipia gharama za Kambi na mwingine analipiwa na Waarabu
Tuwekee picha ili tuamimi kama kuna fanana na Mlandizi. Ila nijuacho mimi, kuna mmoja anajilipia gharama za Kambi na mwingine analipiwa na Waarabu
for life JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 3,397 Reaction score 4,436 Aug 21, 2021 #7 Mabega yako yanaumia kwa kubeba kitu kizito kisichokuwa na maana juu yake