kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Na hii mechi tunachezea AzamNaunga Mkono hoja.Sema match zote wanachezea Azam complex wale jamaa wa Sudan ya Al Bashir kwao kuna shida,Ila Mungu atakuwa upande wa Al Merreik
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii mechi tunachezea AzamNaunga Mkono hoja.Sema match zote wanachezea Azam complex wale jamaa wa Sudan ya Al Bashir kwao kuna shida,Ila Mungu atakuwa upande wa Al Merreik
Ni vizuri umechagua upande mapema, umekiri el merekh ni timu bora ambayo inakwenda kumtoa yanga kwenye michuano, Kwa maana iyo yanga anakwenda kupambana na timu bora, usije ukageuza maneno tena kwa maana mwanaume uwa anageuka kitandani tu na sio mdomoni!Sababu ni moja tu hawajawahi kamwe kuwa na bahati na Timu za Sudan na Mpira wa Wasudani Siku zote umekuwa ni wa Kimkakati zaidi na huwa Hawarogeki kirahisi tena na Uchawi wa Timu za kutoka Afrika Mashariki ( hasa Tanzania ) yetu hii.
Naishauri hiyo Timu kuwa ihakikishe tu inashangilia Ushindi wake wa Karamu ya Magoli ( Magoli mengi ) kwa mara ya mwisho Weekend hii huku Wakichomekea Nguo zao kwani baada ya Weekend hii nao wataenda Kutolewa na kurudi Kuungana na Wanafiki Wenzao Azam FC katika Kucheza kwa bidii zote NBC Premier League na ASFC.
Tanzania kuna Timu moja tu na ambayo inajulikana na Kusifika hadi na CAF na FIFA nayo ni Simba Sports Club tu pekee iliyoko nafasi ya Saba ( 7 ) kwa Ubora wa Viwango Afrika huku Wengine kwa bahati bahati ( Fluku ) wakiwa ni wa Kumi na Saba ( 17 ) au wa Kumi na Tisa ( 19 ) na wanakoelekea watafika hadi nafasi ya 50 Afrika na ya 19,650 Kidunia.
Kazi ipo.....!!
El Mereikh Yuko Rwanda.Naunga Mkono hoja.Sema match zote wanachezea Azam complex wale jamaa wa Sudan ya Al Bashir kwao kuna shida,Ila Mungu atakuwa upande wa Al Merreik
Ukichoka unapumzika kidogo, then unajibu tena.Visit www.cafonline.com tusichoshane.