Kuna timu zitatoa timu uwanjani kwa kikosi hiki

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.

Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.

Konde boy kaamsha Sana Jana

Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu

KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
 
Najaribu kufikiria:
Hivi mimi jana nilikua naangila mpira nikiwa nimelewa?

au
Nilikua naangalia mechi ya marudio?

Mimi huo mpira ambao Wanasimba wenzangu wanasema umepigwa, mbona mimi sijauona?

Ni kujifariji au Kumtisha Mtani?

Mnayafanya or mnasema hayo kwa manufaa ya nani? Asking for a friend😄
 
Kuingiza uwanjani wachezaji wazuri KWA mafungu mafungu. Kibu D mbahatishaji. Tia cream tupu.
 
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.

Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.

Konde boy kaamsha Sana Jana

Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu

KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
Abeg ulikuwa unaangalia play station, tuliokuwa Mkwakwani tumeona swala hakuna Simba pale.
 
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.

Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.

Konde boy kaamsha Sana Jana

Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu

KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
Hamshindi hadi mbebwe
 
Simba ikicheza kwenye ligi kama ilivyocheza jana, tuitegemee kwenye playoff
 
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.

Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.

Konde boy kaamsha Sana Jana

Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu

KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
Hivi hii ndio Ile wazungu wanaita sarcasm ?
Nakuelewa mkuu 😁😁😁
 
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.

Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.

Konde boy kaamsha Sana Jana

Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu

KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
Akili fyongo, binaadam timamu hawezi kujitoa akili kiasi hiki
 
FB_IMG_16916955393469692.jpg
 
Kwa kua umeamua kutulazimisha tukoment haya sawa coment yangu umeipata
 
Najaribu kufikiria:
Hivi mimi jana nilikua naangila mpira nikiwa nimelewa?

au
Nilikua naangalia mechi ya marudio?

Mimi huo mpira ambao Wanasimba wenzangu wanasema umepigwa, mbona mimi sijauona?

Ni kujifariji au Kumtisha Mtani?

Mnayafanya or mnasema hayo kwa manufaa ya nani? Asking for a friend😄

Nakuunga mkono mkuu..
Mm pia ni mshabiki wa Simba, ila kocha mule hamna. Simba naona ina wachezaji wazuri lakn chemistry baina ya wachezaji na kufungua vyumba ile one two hamna kabisaa.

Goli lile tumebebwa kweupeeeee...
Refa alichezesha chini ya kiwango.

Yanga wapo vizuri, na jpili tunapigwa
 
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.

Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.

Konde boy kaamsha Sana Jana

Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu

KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
Acha kuwaenjoi makolo na wewe ni uto mwenzangu
 
Mlongo simba inakutesaa sanaaa, poleeeee wee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] relaaaaaxxx
 
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.

Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.

Konde boy kaamsha Sana Jana

Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu

KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
Uchihimwisi huo
 
Amka haraka, hii ndoto unayoota unaweza kushtuka ukajikuta umejikojolea kitandani

Back
Top Bottom