Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.
Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.
Konde boy kaamsha Sana Jana
Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu
KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA