Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii ndio Ile wazungu wanaita sarcasm ?
Nakuelewa mkuu 😁😁😁
I'm not gonna lie, hii kauli ya "Jumapili tunapigwa" imenichekesha sana😄Nakuunga mkono mkuu..
Mm pia ni mshabiki wa Simba, ila kocha mule hamna. Simba naona ina wachezaji wazuri lakn chemistry baina ya wachezaji na kufungua vyumba ile one two hamna kabisaa.
Goli lile tumebebwa kweupeeeee...
Refa alichezesha chini ya kiwango.
Yanga wapo vizuri, na jpili tunapigwa
Siku hizi sio pira biliani tena ni pira makande[emoji1787].Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.
Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.
Konde boy kaamsha Sana Jana
Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu
KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
Hata mimi nimemuelewa kwa style hiyo[emoji16]Hivi hii ndio Ile wazungu wanaita sarcasm ?
Nakuelewa mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mojawapo ya hizo timu zitakazotoka uwanjani ni Atletico De UtoKwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.
Pila ottoman mmeliona ndugu zangu huyo ONANA hakabiki kabisa si mmeona jamani.
Konde boy kaamsha Sana Jana
Simba tupewe ubingwa wetu kabisa Kuna timu itakula 8 msimu huu
KAMBI YA UTURUKI HAKIKA IMELIPA WAKUU WALE WALIOWEKA KAMBI HAPAHAPA MOTO WAMEUONA
Pumba tupu.Kwa jinsi boli la lunyasi lilivyotembea pale kwa wagosi jana naona kabisa Kuna timu itatoa timu uwanjani.