Kuna tofauti gani kati ya haya mabasi ya kichina yutong na zhong tong

Kuna tofauti gani kati ya haya mabasi ya kichina yutong na zhong tong

BJB

Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
25
Reaction score
2
KUNA TOFAUTI GANI KATI YA HAYA MABASI YA KICHINA ZHONGTONG NA YUTONG MAANA NAONA KAMA SOKO LA YUTONG LINAPOTEA TARATIBU
Z

YUTONG

2Q==

ZHONG TONG
 
Attachments

  • yutong.jpg
    yutong.jpg
    39.6 KB · Views: 479
  • ZONG.jpg
    ZONG.jpg
    19.3 KB · Views: 471
zhongtong nafikiri mashine yake ni kubwa kuliko yotung. pia zhongtong hata gari itoke mwanza kuja dar ikifika tu unazima gari hapo hapo wakati gari nyingine mbaka usubiri ipoe ndo uzime
 
Jiulize kwanza yanatengenezwa na makampuni tofauti au ni mtengenezaji huyo huyo mmoja bali amebadili jina katika harakati za kuvuta biashara.
 
Yutong mabasi mazur sana ukiangalia system ya gearbox... engine na diff pia ac... usb kwa kweli yutong ni habari ya mjini....siku hizi wametuletea double diff ndio bomba zaid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zhongtong nafikiri mashine yake ni kubwa kuliko yotung. pia zhongtong hata gari itoke mwanza kuja dar ikifika tu unazima gari hapo hapo wakati gari nyingine mbaka usubiri ipoe ndo uzime
This fact is mechanically wrong...mhandisi/fundi makenika hawezi kubaliana na ulichokiandika hapa.
 
Back
Top Bottom