Kuna tofauti gani kati ya haya mabasi ya kichina yutong na zhong tong

Kuna tofauti gani kati ya haya mabasi ya kichina yutong na zhong tong

Zhong tong inatembea kuliko youtong hta horsepower ya ztong ni kubwa ndo maana ztong ikimpata davoo mkali wanaenda korikori na scania
 
Wamiliki ni tofauti japo wote ni ndugu walitengana kisha mmoja akaanzisha zhong tong na kuachana na yutong ila zhongtong imeboreshwa zaidi kuanzia body ,engine mpaka transmitted system japo baadhi ya spear zao zinaingiliana pia yote yako katika mji mmoja huko china
 
Back
Top Bottom