Ni SBT Japan...Una waamini hao dealer?
Ni SBT Japan...
Hawana ujanja wa kiafrica
Your priority is yours. Their priority is theirs.People are programmed to be consumers not producers. We take pride on using, spending, liability assets expenses none is proud of investing somewhere.
Lipwa salary ukaenjoi you're filling the hole that can't be filled since dawn and until dusk you won't fill it.
None is proud by leaving inheritance to his grandchildren
Huo ni uoga na kukariri ukikaa kwa utulivu kwenye website kama be forward, sbt unapata gari nzuri kinachowacost wengi ni kutaka vitu ambavyo ni very cheap Sasa mtu anatafura gari ya USD 800 kwa nini wasikuekee screpa kwenye meliChukua kama ipo Yard mkuu, kuagiza mara nyingi ni kama unataka mpya kabisa na haipo Yard na mara nyingi hata wanaogiza tunapitia kwa Dealers kwasababu ya uzoefu na kuepuka usumbufu.
Enzi hizo mwalimu wangu wa BAM aliniambia kuna utofauti wa Gari na Usafiri sijajua alichomaanisha kinaingia kwenye swali lako Ila Hongera sanaaa
Mawakala wa forodha tupo tupeni basi hizo documents tuwatolee magariAisee sijui tatizo ni nini maana Mimi mwenyewe gari yangu ndiyo IPO njiani inakuja, ni zaidi ya miezi miwili imechelewa kwenye booking ya meli na hata wale dealer waliniambia kuwa shida ni usafirishaji tu
Usafiri ni Passo na gari ni Harrier anacondaChukua kama ipo Yard mkuu, kuagiza mara nyingi ni kama unataka mpya kabisa na haipo Yard na mara nyingi hata wanaogiza tunapitia kwa Dealers kwasababu ya uzoefu na kuepuka usumbufu.
Enzi hizo mwalimu wangu wa BAM aliniambia kuna utofauti wa Gari na Usafiri sijajua alichomaanisha kinaingia kwenye swali lako Ila Hongera sanaaa
Shida yote ya nini? Mara zote nikitaka kununua gari napita yard nakagua gari nalipia na kuendesha siku hiyo hiyo. Ujinga wa kukaa siku 60 nasubiria gari iko kwenye meli huwa sifanyi. Gari yenyewe ya kwenye meli umeona picha tu hiyo ni akili au matope.Huo ni uoga na kukariri ukikaa kwa utulivu kwenye website kama be forward, sbt unapata gari nzuri kinachowacost wengi ni kutaka vitu ambavyo ni very cheap Sasa mtu anatafura gari ya USD 800 kwa nini wasikuekee screpa kwenye meli
How old are you?Labda...ila kama unao uwezo wa kuagiza gari best ways, go yourself 🤣 kwanza unakuwa ume refresh minds kwa kutembelea nchi nyingine then unakuwa unaona maisha ya wenzetu huko ughaibuni...!
Kwa kifupi utajifunza mengi kuhusu cargos utawakuta huko huko cargo wapo Dunia nzima...!
Kwa mfano kutoka Dubai to TanzaniA ukitumia cargo ya meli ni siku 29 Hadi 35 tu...!
Kingine unakuwa unausimamia mzigo wako mwenyewe
Alafu yote hayo eti unaokoa 2M 😂😂Shida yote ya nini? Mara zote nikitaka kununua gari napita yard nakagua gari nalipia na kuendesha siku hiyo hiyo. Ujinga wa kukaa siku 60 nasubiria gari iko kwenye meli huwa sifanyi. Gari yenyewe ya kwenye meli umeona picha tu hiyo ni akili au matope.
This is just survivorship bias bro. Let us talk the logic and not feelings, emotions or trying to be right than the next guy.Your priority is yours. Their priority is theirs.
Niko 30+ mkuu Kuna tatizo...?How old are you?
Mkuu nilikuwa sijui kama wewe ni MTU wa clearing Ila tupo pamoja kiongozi maana siku nyingine nitakuchek kwasababuMawakala wa forodha tupo tupeni basi hizo documents tuwatolee magari
Mawakala wa forodha tupo tupeni basi hizo documents tuwatolee magari
What you're saying is absolutely correct but its correct from your perspective. Its a human nature to desire the finest things in life.This is just survivorship bias bro. Let us talk the logic and not feelings, emotions or trying to be right than the next guy.
We do something to boast our ego and sometime just to self esteem and seeking social recognition.
Sasa uje ambao wanamiliki dunia wanakutangazia ama wameku program ununue vitu vya gharama ya juu just to boast your ego that you're valuable,and you're important person while they're just playing with your human emotions.
Mtu anafanya kazi anajibana ananitesa ili tu na yeye afosi respect.
Ananunua kitu Muda si mrefu anakiuza Mana kinazidi kumtoa hela.
Yaani why hujiulizi muda mwingi unayoyasikia kwenye media ni ya kukutoa hela. Mie hata Sina na sihitaji kuwa na tv home kwangu , kafungue Kama Kuna kitu utalisha ubongo wako,mwili wako ama roho yako.
Yaani wanakuambia mara bet ,mara nunua ichi na wanakuonyeshea someone who is so influencial to planet anaitumia ili na wewe u feel deep down in your soul inadequacy,sense of not mattering, incomplete etc so itabidi na wewe ukainunue na uanze kuonyesha watu kuwa you're somebody while you're feeling gap in your soul this you wanna feel that gap with materialistic things.
Naweza nikachambua na wewe ubongo na emotions za binadamu ukakaa chini
Nimekuelewa mfano kupenda kunywa soda kuliko kunywa tangawizi.What you're saying is absolutely correct but its correct from your perspective. Its a human nature to desire the finest things in life.
Vithibitisho kama vipi mkuu?Hakikisha gari unayokuta Yard imeingizwa kutoka nje na sio ilitumika hapa Bongo na ikawekwa Yard baada ya kukarabatiwa , omba vithibitisho , Watu wahuni sana siku hizi