Kuna tofauti gani kati ya kuagiza gari nje ya nchi au kununua magari yanayouzwa 'yard' hapa nchini kwetu?

Ni SBT Japan...
Hawana ujanja wa kiafrica
Labda...ila kama unao uwezo wa kuagiza gari best ways, go yourself 🤣 kwanza unakuwa ume refresh minds kwa kutembelea nchi nyingine then unakuwa unaona maisha ya wenzetu huko ughaibuni...!

Kwa kifupi utajifunza mengi kuhusu cargos utawakuta huko huko cargo wapo Dunia nzima...!

Kwa mfano kutoka Dubai to TanzaniA ukitumia cargo ya meli ni siku 29 Hadi 35 tu...!

Kingine unakuwa unausimamia mzigo wako mwenyewe​
 
People are programmed to be consumers not producers. We take pride on using, spending, liability assets expenses none is proud of investing somewhere.
Lipwa salary ukaenjoi you're filling the hole that can't be filled since dawn and until dusk you won't fill it.

None is proud by leaving inheritance to his grandchildren
Your priority is yours. Their priority is theirs.
 
Chukua kama ipo Yard mkuu, kuagiza mara nyingi ni kama unataka mpya kabisa na haipo Yard na mara nyingi hata wanaogiza tunapitia kwa Dealers kwasababu ya uzoefu na kuepuka usumbufu.
Enzi hizo mwalimu wangu wa BAM aliniambia kuna utofauti wa Gari na Usafiri sijajua alichomaanisha kinaingia kwenye swali lako Ila Hongera sanaaa
Huo ni uoga na kukariri ukikaa kwa utulivu kwenye website kama be forward, sbt unapata gari nzuri kinachowacost wengi ni kutaka vitu ambavyo ni very cheap Sasa mtu anatafura gari ya USD 800 kwa nini wasikuekee screpa kwenye meli
 
Usafiri ni Passo na gari ni Harrier anaconda
 
Huo ni uoga na kukariri ukikaa kwa utulivu kwenye website kama be forward, sbt unapata gari nzuri kinachowacost wengi ni kutaka vitu ambavyo ni very cheap Sasa mtu anatafura gari ya USD 800 kwa nini wasikuekee screpa kwenye meli
Shida yote ya nini? Mara zote nikitaka kununua gari napita yard nakagua gari nalipia na kuendesha siku hiyo hiyo. Ujinga wa kukaa siku 60 nasubiria gari iko kwenye meli huwa sifanyi. Gari yenyewe ya kwenye meli umeona picha tu hiyo ni akili au matope.
 
Mimi gari kuanzia million 30 ndiyo naagiza kutoka Japan au Ulaya... Ila gari yenye thaman chini ya m30 naingia kwenye mitandao naangalia magari waliyopost madalali wa mwenge na sinza na tabata, napiga cm naletewa gari niliyoipenda tunaongea bei nanunua...
Sikuhiz kununua gari ni rahisi kama kuondoka na demu pale Samaki² au KitambaaCheupe... Tusi complicate maisha sikuhiz gari zima au bovu unalijua hata kwa macho bila fundi... Ukiuziwa gari bovu maana yake wewe ni kilaza mshamba wa kutupwa
 
Hapa waswahili wanaweza kukubadirishia Hata engine, unaweza ona km 10,000 kumbe wametoa zero mwisho. Hii Nina mifano hai kabisa, Mmoja ilibidi atishiwe Kwa mguu wa kuku arudishe pesa, baada ya kufumaniwa ana anashusha engine ya gari iliyolipiwa na kusubiri kibao tu kitoke.
 
Labda...ila kama unao uwezo wa kuagiza gari best ways, go yourself 🤣 kwanza unakuwa ume refresh minds kwa kutembelea nchi nyingine then unakuwa unaona maisha ya wenzetu huko ughaibuni...!

Kwa kifupi utajifunza mengi kuhusu cargos utawakuta huko huko cargo wapo Dunia nzima...!

Kwa mfano kutoka Dubai to TanzaniA ukitumia cargo ya meli ni siku 29 Hadi 35 tu...!

Kingine unakuwa unausimamia mzigo wako mwenyewe​
How old are you?
 
Your priority is yours. Their priority is theirs.
This is just survivorship bias bro. Let us talk the logic and not feelings, emotions or trying to be right than the next guy.
We do something to boast our ego and sometime just to self esteem and seeking social recognition.

Sasa uje ambao wanamiliki dunia wanakutangazia ama wameku program ununue vitu vya gharama ya juu just to boast your ego that you're valuable,and you're important person while they're just playing with your human emotions.
Mtu anafanya kazi anajibana ananitesa ili tu na yeye afosi respect.
Ananunua kitu Muda si mrefu anakiuza Mana kinazidi kumtoa hela.
Yaani why hujiulizi muda mwingi unayoyasikia kwenye media ni ya kukutoa hela. Mie hata Sina na sihitaji kuwa na tv home kwangu , kafungue Kama Kuna kitu utalisha ubongo wako,mwili wako ama roho yako.
Yaani wanakuambia mara bet ,mara nunua ichi na wanakuonyeshea someone who is so influencial to planet anaitumia ili na wewe u feel deep down in your soul inadequacy,sense of not mattering, incomplete etc so itabidi na wewe ukainunue na uanze kuonyesha watu kuwa you're somebody while you're feeling gap in your soul this you wanna feel that gap with materialistic things.
Naweza nikachambua na wewe ubongo na emotions za binadamu ukakaa chini
 
Screenshot_20240705-070649.png
Kwa mujibu wa be forward IST anaanza kutoka kwenye top ten
 
What you're saying is absolutely correct but its correct from your perspective. Its a human nature to desire the finest things in life.
 
Odometer mkuu. Za yard mara nyingi wanarudisha nyuma odometer. Unakuta inasoma imetembea km30 elfu kumbe imepiga zaidi ya laki nanusu.

Kingine hizi za yard ni gharama ukilinganisha na kuagiza mwenyewe. Yard watafidia cost zote na kifaida chao. Niwahi kusave 1ml na points kwa same car ambayo ilikuwa inauzwa yard.

Cha muhimu tuu unapoagiza ndinga nje usiwe na haraka jipe walau mwezi mmoja wa kusearch gari na kubargain bei, pia walau miezi mi2 ili upate gari yako.
 
Back
Top Bottom