Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.perfume ina concentration kubwa ya aromatic oils kuliko maji na alcohol wakati body spray ina concentration kubwa ya maji na alcohol kuliko aromatic oils
2.perfume inanukia muda mrefu kuliko body spray kwasababu hio hapo juu.
3.perfume inapuliziwa kwenye pulse points[sehemu ambapo unafeel mapigo ya moyo shingoni,wrist,kifuani joto la sehemu hizi zinafanya harufu inukie vizuri] body spray inapulizwa sehemu yoyote ya kiwiliwili[mgongoni,kifuani,tumboni etc]
Perfume haipulizwi kwenye nguo, ingawa wengi hufanya hivyo.
Utaamsha mjadala hapa wa wapi haswa iwe sprayed. . . . . . .nasubiri. . .
1.perfume ina concentration kubwa ya aromatic oils kuliko maji na alcohol wakati body spray ina concentration kubwa ya maji na alcohol kuliko aromatic oils
2.perfume inanukia muda mrefu kuliko body spray kwasababu hio hapo juu.
3.perfume inapuliziwa kwenye pulse points[sehemu ambapo unafeel mapigo ya moyo shingoni,wrist,kifuani joto la sehemu hizi zinafanya harufu inukie vizuri] body spray inapulizwa sehemu yoyote ya kiwiliwili[mgongoni,kifuani,tumboni etc]
Perfume haipulizwi kwenye nguo, ingawa wengi hufanya hivyo.
Kumbe perfume inapulizwa kwenye ngozi au?
hio mbona iko very clear....perfume or cologne should be sprayed on PULSE POINTS......although you can spray wherever you want.
Je ni sahihi ki afya kupuliza perfume mwenyew mwili?
Wadau,
Hivi kuna tofauti gani kati ya hivyo viwili, perfume na body spray?
Perfumes ni harufu inayotoka either kwenye body spray au hiyo unayoita perfume. Kilichopo ni mfumo tu wa namna perfume inayotoka, body spray inatoa perfume yake kwa njia ya mvuke wakati hii nyingine unayoita perfume yenyewe itatoa harufu yake kwa njia ya maji maji.
Nadhani nimejaribu kidogo
Hata Nami Nakubaliana Na Ww, Tofaut Kubwa Ni
> Perfume Iko Ktk Mfumo Wa Maji Maji Na
> Body Spray Ipo Ktk Mfumo Wa Gesi. Lakin Vyote Vinanukia Na Unaweza Kujipulizia Kwenye Mwili Au Kwenye Nguo.
Inategemea mtazamo wako katika utumiaji......inashauriwa na mtazamao wa kwanza kuwa iwe sprayed kwenye sehemu za mwili ambako kuna joto au ambapo unahisi mapigo ya moyo sababu joto la hapo sehemu litaifanya pafyumu yako iwe active. . . .kwenye wrist joints, jugular points/ shingoni chini ya masikio n.k.. . . hakuna madhara ISIPOKUWA KWA WENYE MZIO
Mtizamo wa pili ni kwenye nguo, wengine kwa nje na wengine wanasema kwa ndani . . . .wako wanaohofia staining na kuna wanaohofia harufu ya sabuni iliyotumika kufua kuchanganyika na pafyumu......mitazamo hiyo mkuu
Mtizamo wa tatu ni kote kwenye nguo kidogo na mwilini kidogo . . . .
Inategemea unataka kunukia kiasi gani......unataka next person tu ndio asikie au unataka ukiingia chumba chochote watu wajue umefika. . . .