mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,170
1.perfume ina concentration kubwa ya aromatic oils kuliko maji na alcohol wakati body spray ina concentration kubwa ya maji na alcohol kuliko aromatic oils
2.perfume inanukia muda mrefu kuliko body spray kwasababu hio hapo juu.
3.perfume inapuliziwa kwenye pulse points[sehemu ambapo unafeel mapigo ya moyo shingoni,wrist,kifuani joto la sehemu hizi zinafanya harufu inukie vizuri] body spray inapulizwa sehemu yoyote ya kiwiliwili[mgongoni,kifuani,tumboni etc]
Perfume haipulizwi kwenye nguo, ingawa wengi hufanya hivyo.
Unasemea hizi hizi za kuchakachua ama manake ndani ya mwaka mtu ukiwa unapulizia kwenye mwili kansa ya ngozi inatuhusu mtu unakuta kuna perfume org inauzwa 150, 000 copy sh 15, 000 halafu uniambie kuna usalama hapo kama sii kuuwana ni nini.