Kuna tofauti gani kati ya Perfume na Body spray?

Unasemea hizi hizi za kuchakachua ama manake ndani ya mwaka mtu ukiwa unapulizia kwenye mwili kansa ya ngozi inatuhusu mtu unakuta kuna perfume org inauzwa 150, 000 copy sh 15, 000 halafu uniambie kuna usalama hapo kama sii kuuwana ni nini.
 
Kuna body splash ambayo ni mbadala wa body spray. Tafuta kama hii
 
Attachments

  • 1436538537107.jpg
    46.6 KB · Views: 395
  • 1436538641420.jpg
    61.7 KB · Views: 369
Unasemea hizi hizi za kuchakachua ama manake ndani ya mwaka mtu ukiwa unapulizia kwenye mwili kansa ya ngozi inatuhusu mtu unakuta kuna perfume org inauzwa 150, 000 copy sh 15, 000 halafu uniambie kuna usalama hapo kama sii kuuwana ni nini.

I'm allergic to counterfeit...if u know what I mean.
 
na hizi splash tunaagizwa na madem zetu tuwaletee zinapulizwa wapi?

Hahaha kwa hiyo sisi ndo tunawanunuliaga hayo maji ya ukwaju a.k.a spray? Hata na nyie ni wanunuaji wazuri tu bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…