Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Ngoja tuingie jalalani jibu litakuja muda si mrefu.Ninaomba ufafanuzi wa wataalam please.
Maneno yote kwa tafsiri ya Kiswahili ni Katibu Mkuu, ambaye ni Afisa Mkuu au kiongozi wa chama cha siasa au shirika.Ninaomba ufafanuzi wa wataalam please.
Kwahiyo?Maneno yote kwa tafsiri ya Kiswahili ni Katibu Mkuu, ambaye ni Afisa Mkuu au kiongozi wa chama cha siasa au shirika.
Kwa lugha ya Kiingereza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anaongezewa neno "The", ambalo hutumika kama kiunganishi cha nomino (noun) yenye upekee (specific). Umoja wa Mataifa ni Taasisi ya kipekee duniani, kwani kuna Taasisi na vyama vingi vya siasa vyenye Katibu Mkuu.
Kwa kiingereza kwa mfano hawasemi "earth" (dunia), bali "the earth" kwa maana kuwa dunia ni kitu pekee katika sayari
Naona Mods wame edit hiyo heading. Swali langu original ni hili hapa;Maneno yote kwa tafsiri ya Kiswahili ni Katibu Mkuu, ambaye ni Afisa Mkuu au kiongozi wa chama cha siasa au shirika.
Kwa lugha ya Kiingereza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anaongezewa neno "The", ambalo hutumika kama kiunganishi cha nomino (noun) yenye upekee (specific). Umoja wa Mataifa ni Taasisi ya kipekee duniani, kwani kuna Taasisi na vyama vingi vya siasa vyenye Katibu Mkuu.
Kwa kiingereza kwa mfano hawasemi "earth" (dunia), bali "the earth" kwa maana kuwa dunia ni kitu pekee katika sayari
Kuna tofauti gani kati ya "Secretary General" na "General Secretary"? Kwanini katibu mkuu wa umoja wa mataifa (UN) haitwi "General Secretary"?Yan ht cjaelewa, nadhan diploma yangu bd ndogo
Mkuu, hayo mambo ya "The" mimi wala sijayauliza. Mods ndio wame-edit heading na kuweka hiyo "The"anaongezewa neno "The", ambalo hutumika kama kiunganishi cha nomino (noun) yenye upekee (specific).
Sawa mkuu...Maneno yote kwa tafsiri ya Kiswahili ni Katibu Mkuu, ambaye ni Afisa Mkuu au kiongozi wa chama cha siasa au shirika.
Hahahahaaa, jalalani ndio wapi tena huko mzee baba?Ngoja tuingie jalalani jibu litakuja muda si mrefu
Nikujibu nini wakati bandiko langu linajieleza? Du! Kuna watu na viatu.Kwahiyo?
At least hii ina neno "chief" inaleta ladha fulani hivi ya utofauti kidogo ukilinganisha na hayo maneno mengine yanayofanana sana.3. Chief secretary
Ngoja wajuzi wa masuala haya waje.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Kuna tofauti gani kati ya "Secretary General" na "General Secretary"? Kwanini katibu mkuu wa umoja wa mataifa (UN) haitwi "General Secretary"?
Tafadhali tazama screenshots hapo chini;
The Secretary General
View attachment 1575007
The General Secretary
View attachment 1575008
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mkuu, hayo mambo ya "The" mimi wala sijayauliza. Mods ndio wame-edit heading na kuweka hiyo "The"
Pamoja kwamba "mods" wamebadili ulichokuwa umekusudia kuuliza, bado kimsingi Katibu Mkuu (General Secretary au Secretary General) ni neno linalomaanisha kitu kimoja, yaani Mkurugenzi Mtendaji ambalo hupendwa kutumiwa na mashirika ya kimataifa, yasiyo ya faida, na ya kisiasa. Mengine hutumia "Executive Secretary". Hapa nchini tunatumia km Serikalini Katibu Mkuu Kiongozi (Chief Secretary) ambaye ni kiongozi wa Makatibu Wakuu (Permanent Secretaries).Sawa mkuu...
Sawa mkuu...Pamoja kwamba "mods" wamebadili ulichokuwa umekusudia kuuliza, bado kimsingi Katibu Mkuu (General Secretary au Secretary General) ni neno linalomaanisha kitu kimoja,