Kuna tofauti gani kati ya "Secretary General" na "General Secretary"? Kwanini Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) haitwi "General Secretary"?

Kuna tofauti gani kati ya "Secretary General" na "General Secretary"? Kwanini Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) haitwi "General Secretary"?

Rais Magufuli hata asipopiga kampeni kuanzia leo ushindi ni 90%.
 
Mkuu hata usingemjibu kuna watu wameumbwa hvyo,wewe unazungumzia wali yeye anasema lami,achana nae.
Kama baada ya miaka 5 bado hatujamuelewa Meko anahakikisha kwenye Kampeni za mwaka huu anaweka wazi HULKA yake.

Tusijekulalamika akichukuwa Urais 2020-2025.

*Ukimpigia Kura mpinzani utalipa kodi kama kawaida lakini usitengeme huduma za Serikali*

28/10/2020 Kazi kwetu!
 
Magufuli haitaji kupiga kampeni Mkuu hata akikaa ofisini lazima achaguliwe kwa kishindo Kazi zake zinambeba.
 
Elimu haina mwisho, kabla sijakujibu, nambie "The" ni "Article" kwa vipi?



Umeongeza swali lingine.

The ni kiunganishi cha nomino? Elezea mkuu.

Nachojua the ni article.

Fafanua kama hautojali.

Mkuu Daby ni sahihi kuwa "The" ni article na hutumika pale unapotaja specific noun, mfano huwezi sema "a sun" ila utasema "the sun" ama utaitumia pale ambapo in the first place umesha tambulisha nomino husika mfano, this is a car i bought last week. Kisha unapoendelea kulizungumzia utasema, the car is from German kwa sababu tayari umelitambulisha awali.

Pia "The" hutumika kumaanisha wingi (plural) eg "The rich" au "The poor".
 
Ajenda ya upinzani ni kupinga maendeleo na kumtukana Rais Magufuli.
 
Kama miaka mitano tu Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
 
Ninavyojua Rais Magufuli anatembea kwenye viatu vya Nyerere.
 
Mkuu @Daby ni sahihi kuwa "The" ni article na hutumika pale unapotaja specific noun, mfano huwezi sema "a sun" ila utasema "the sun" ama utaitumia pale ambapo in the first place umesha tambulisha nomino husika mfano, this is a car i bought last week.
Naaam sahihi kabisa...
 
Back
Top Bottom