Kuna tofauti gani kati ya "Secretary General" na "General Secretary"? Kwanini Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) haitwi "General Secretary"?

Umempoteza Hakuna neno la Mkurugenzi Mtendaji kwenye hilo bandiko lake, acha kujifanya unajua kumbe hujui hapo kuna maaana mbili tofauti

Mtendaji Mkuu (secretary general)

Na

Katibu Mkuu ( general secretary)
 
Hili neno "The" sio mimi niliyeliweka bali ni Mods ndio wame-edit na kuliweka.

Hata kama mimi nilipata division 4 ya mwisho kidato cha nne miaka kadhaa nyuma, kweli nisijue tofauti ya kuweka na kutokuweka "The" katika sentensi au neno?
Mbona mnamlazimisha na neno The? Yeye hataki hilo neno na the haiingiii kwenye maneno anayoyasema
 
CHADEMA Kusema kampeni za CCM ni ngumu ni vichekesho.
 
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Magufuli.
 
Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Magufuli.
 
Umempoteza Hakuna neno la Mkurugenzi Mtendaji kwenye hilo bandiko lake, acha kujifanya unajua kumbe hujui hapo kuna maaana mbili tofauti

Mtendaji Mkuu (secretary general)

Na

Katibu Mkuu ( general secretary)
Kama ulikuwa hujui neno "Secretary" wamelitohowa kwenye neno la msingi "SECRET" kwa lugha yetu "SIRI" ambaye ni mtu anayetunza "siri" za mkuu (boss) wake au Taasisi/Kundi/jumuiya iliyomwajiri.
 
Kama ulikuwa hujui neno "Secretary" wamelitohowa kwenye neno la msingi "SECRET" kwa lugha yetu "SIRI" ambaye ni mtu anayetunza "siri" za mkuu (boss) wake au Taasisi/Kundi/jumuiya iliyomwajiri.
Asante kwa kunipa elimu nzuri mkuu
 
Kama ulikuwa hujui neno "Secretary" wamelitohowa kwenye neno la msingi "SECRET" kwa lugha yetu "SIRI" ambaye ni mtu anayetunza "siri" za mkuu (boss) wake au Taasisi/Kundi/jumuiya iliyomwajiri.

Mkuu, Lakini "Etymology" ya hilo neno iko wapi??, Sababu anaweza akaja mtu naye akasema; neno Infantry limetokea kwenye neno "infant"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…