Kuna tofauti gani kati ya Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Rufaa?

Kuna tofauti gani kati ya Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Rufaa?

Dogo G

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
1,052
Reaction score
440
Waungwana hamjambo,

Kuna maneno ya hizi taasisi huwa yananichanganya.

Kuna tofauti gani kati ya zahanati, kituo cha afya, na hospitali ya rufaa?

FB_IMG_15302717077378470.jpg
 
Zahanati ni kituo kidogo kinachoshuhulika na kesi ndogo ndogo na kituo cha afya kina deal ishu zilizo kubwa kidogo na zilizoshindikana kwenye zahanati rufaa ndo yenye madaktari bingwa na pia inadeal na inshu kubwa kubwa na INA vifaa vyote
 
Wale watoto mapacha walioungana inamaana muhimbili wameshindwa kuwafanyia upasuaji hadi waende saud Arabia?
 
Zahanati ni kituo kidogo kinachoshuhulika na kesi ndogo ndogo na kituo cha afya kina deal ishu zilizo kubwa kidogo na zilizoshindikana kwenye zahanati rufaa ndo yenye madaktari bingwa na pia inadeal na inshu kubwa kubwa na INA vifaa vyote
Ahsante kwa elimu hii mkuu,
 
Mh,navojua hospital ya mkoa inajitegemea,na hospital ya rufaa inajitegemea.ko sio hosp za mikoa zote ni za rufaa
Kesi nyingi kutoka wilayani huwa referred mkoani kwanza lakini kesi za hatari kama cancer huenda moja kwa moja hospitali kubwa ya rufaa
 
ZAHANATI,KITUO CHA AFYA,
Ngazi ya kijiji / kata ndio huwa tuna Zahanati na vituo vya fya huku kwetu vijijini.

Ambapo mgonjwa hali ikiwa mbya basi anapelekwa hospitali ya Wilaya.
 
Ngazi ya kijiji / kata ndio huwa tuna Zahanati na vituo vya fya huku kwetu vijijini.

Ambapo mgonjwa hali ikiwa mbya basi anapelekwa hospitali ya Wilaya.
Kwahiyo zahanati ni kitu kimoja na kituo cha afya ama! Na kama ni tofaut tofaut ni nini?
 
Wagonjwa kutoka hospitali ya rufaa pia huwa referred kwenye DDH yaani hospitali za wilaya. Kama complex issues zimeshatibiwa wanarudishwa kupata muda wa kurecover
 
Back
Top Bottom