Nzelu za bwino JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 400 Reaction score 484 Dec 24, 2021 #1 Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
Rosicky JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 1,202 Reaction score 2,045 Dec 24, 2021 #2 nimeshindwa kuelewa thread yako themes yake ni ipi hasa