Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
Naomba tujadili hili wakuu, kutokana na mazingira ya miili yetu kuwa tofauti, je haiwezi kuathiri mifumo yao ya akili hivyo kuwa na uwezo tofauti wa kufikiri?
Michakato mbalimbali ktika miili ya mwa'mke na mwa'mme ni tofauti, kama vile mfumo mzima wa uzazi, mfumo mzima wa homoni maana mwanamke anatengeneza homon nyingi ktka mwili wake kuliko mwanaume, pia wakati wa mimba mwilin mwa mwanamke anakuwa na mabadiliko mengi yanatokea ambayo hayatokei kwa mwanamme, je michakato hii ktka mwili na mingine mingi haiwezi kuleta utofauti ktka uwezo wao wa kufikiri kati ya mwanamume na mwanamke?.
Sijui sana lakin nahitaji kujua zaid kuhusu hili maana huwa natafakari sana na kuishughulisha sana akili yangu,naileta kwenu waheshimiwa tuijadili kwa kina.